Competing Visions of Development: JK vs JKN

Siajapata jibu halisi kwa nini akili zetu kwa kiasi kikubwaa zifanane sana katika kufikirii..

wafanyabiashara wetu bado hawajaweza kupata patners kutoka nje mpaka Raisi azungukee nao??? TCCIA hivi ina uwezo gani katika kuunganisha wafanyabishara, kusadiaa kukua kwa sekta ya biashara na kutoa dira ya kibiasharaa nchini???

kuhusu maono ya kimaendeleo kati Mwalimu na wote waliomfuatia bado kuna mapungufuu lakini Mwalimu naye hakuwa na msingi imara wa kuifanya nchi ijitegemee hata kiuchumii kama alivyokuwa anahubiriii na kuaminii..Kiuchumii Mwalimu alishindwa ndio maana wote waliomfuatiaa wakaja na style zao.

Kama Taifa tunahitaji Dira ya pamoja ya Maendeleooo..Na hii itawezekana tuu kwa kuleta mabadilko ya kijamii, kisiasa na kifikraa na baadaye mabadilikoo ya kiuchumi.
 
but here lies somewhat the fallacy of the question posed: are the two visions really competing with each other?
With me I don't think so...one was a great thinker and the other one is just there to fulfil his dreams that in the history of that poor country, I was once the top most guy. He does not care whether he delivers or not!
 

JK amezidi kuwa mtanashati na kuvalia suti za bei mbaya kulinganisha na awali. Wengine kama kina Pinda wamejifuza kutovaa suti, huenda wanaandaa mikakati ya kurejea kwenye vitenge. Pia KinaPinda wanaandaa mikakati ya kutumia magari yanayounganishwa na kiwanda chetu cha nyumbu badala ya Ma-VX kutoka Japan. Kufikia malengo yao bado wanasema "tuwape muda"
 
There were no differences in such when it comes to version between JMK and JKN since they both save the same party with the same versions of development, same manifesto and almost same ideas...

However, there are differences in approach from time to time, during mwalimu focus was unity and ujamaa, were for 23 years they fail, almost total economic collapse though it was hard to admit..thereafter reforms follows enginered by Ally Mwinyi

JK and Mkapa wanaimba wimbo wa wafanyabiashara duniani, kwamba investors is the solution...all these are illusions in a very near future..
 

Jakaya anauza nchi bila kujua!! Anahitaji some supernatural intervention ili awe na uwezo wa kuongoza nchi!! Ni matusi makubwa kumlinganisha na Mwalimu!!
 

Imani ya kuwa tegemezi inafanya kauli zake ziwe kama ndoto za mchana. Kulinganisha vision ya JK na Mwl. JKN ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu.

Enzi za mwalimu nchi ilikua na programme zinazoonyesha ni wapi tunaelekea, Azimio la Arusha; Operation vijiji, (hata kama vilifeli), Elimu kwa wote, eg UPE, nk vilikua vinatoa agenda ya taifa kwa wakati huo.
 

So he feel proud to meet great people but what do we get as a nation? mikutano yote hiyo taifa limepata nini? Tunahitaji nini kwenye Newyork stock exchange? Kama sio ushamba ni nini!!!

Haoni kama kuna mambo ya msingi zaidi ya kushughulikia badala ya kupoteza muda na fetha kuwapigia debe wafanyabiashara ma-mision town. JK hana habari kuwa wafanyabiashara makini tayari wana connection na relevant counter parts kutoka US, UK China na kote duniani na wala hawahitaji uwepo wa president!!
 

Mkuu si unaweza kujua 'beliefs' na 'principles' za kiongozi mkuu wa nchi hata kwa kusoma machapisho yake binafsi (achilia mbali hotuba maana nyingi huandaliwa)? Kama hayapo au hayawafikii walengwa inakuwa vigumu kujua 'vision' hata 'beliefs' za mkulu huyo. Pamoja na kuwa Nyerere ni mwanafalsafa alikuwa anazungumza mambo yenye uhalisia.
 
Tanzania will always be an experiment. During Nyerere's time it was socialism, whilst during Kikwete's era it is uncontrolled/unregulated Foreign Direct Investments.
 
Tanzania will always be an experiment. During Nyerere's time it was socialism, whilst during Kikwete's era it is uncontrolled/unregulated Foreign Direct Investments.

Jamaa mmoja alihoji, na nakubaliana naye, mtasemaje yalikuwa majaribio ilhali ilikuwa ndio mfumo wetu wa maisha - How can you say our way of life was an experiment?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…