FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nasaha za JF
Naanza na hizi, mwenye nyingine aendeleze, tujaribu kuweka zile one or two liners:
JF is never boring - The Boss
Ukikutana na Simba au Chui Porini
Na hizi ni nasaha za kwenye signatures za JF:
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto" - Ndibalema
shuka halina mfuko - Washawasha
There are things in life that are very difficult to explain.... The Boss
,,,,,,,,Jisachi - KakaJambazi
Sio Kila Mchina anauza Dawa za Makalio,wengine wajenzi wa barabara...WATCH OUT - Smile
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" - watu8
ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala!!! - Mndengereko
"Bunduki bila risasi yaua namna gani" - Kaizer
#Usione Niko Kimya Nasubiri Uropoke# - A-town
'YOUR MIND BELONGS TO YOU,DON'T LET DEVIL USE IT AS TRASHCAN' - REMSA
Na walipoulizwa kuhusu "cheating" baadhi ya majibu yakawa hivi:
Naanza na hizi, mwenye nyingine aendeleze, tujaribu kuweka zile one or two liners:
JF is never boring - The Boss
Ukikutana na Simba au Chui Porini
Bong'oa tu wote mbio kk,
Hakikisha kisigino kinagusa kichogo kwa kutoka nduki
ukikuta na simba au chui..we lia tu.
Ukimuona tu anza kupiga push ups, lazima akimbie.
Hakuna formula mkuu
jifanye umededi. atakuacha
Tahadhari hapo nikuhakikisha miguu yako haina tatizo lolote la kiufundi manake
Hakikisha unamuakia...shkamooo uncle simba/chui...!baada ya hapo atakuona una nidhamu na kukuacha!!!haya kimbia sasa wahi huko porini tushakupa maujanja....
SIMBA ndiyo unaomba ushauri, mbona huombi ushauri siku ukikutana na MBEYA CITY au YOUNG AFRICANS?
Ujasiri wa kupambana nae
Ongea nae tu...waelewa sana hawa alafu kumbuka we are superior
Tahadhari ya msingi ni kuhakikisha hukutani nao
kama ni askar hakikisha una siraha kila wakati
Hebu tusubiri watu wa wanyamapori na wanaotoka kusini huko ndio michezo yao hii
Nakuhakikishia ukikutana nae ghafla face to face yule mnyama atakuua tu hata akikupa nafasi ya kujitetea, mana hata ukijitetea yule mnyama hajui kiswahili. Labda utembee na bastola yenye risasi za kutosha muda wote.
mkonyeze atakuonea aibu!
Mmh..hivi kuna ujanja kweli? Unless kazi yako iwe inakukutanisha nao mara kwa mara ndio hizo mbinu zitatumika. Hasa sina hili wala lile simba/chui huyu hapa!....Sina hata uhakika nitafanya nini....
Simba na chui hawali nyama ya binadamu sasa wewe una wasiwasi gani
Simba dawa yake kumkojolea...chui kumtekenya
wanyama wote ni wakawaida sana ndio maana wanafugwa, mbaya ni binadamu ka alqued anakuua alau hakutumii, kama chakula. chui ni muoga kweli usikubali kumpa kisogo, akiruka kukudaka wahi mikono ya mbele, simba huyo muwahi ulimi kwani huwa hawezi kurudi nyuma anakua pale pale
tembea na kiberiti,,,,,pia hakikisha nguo zako zananuka petrol ili ukiiona simba au chui jipige kiberit....mwisho wa maneno....swali je ukikutana na chatu?
we chukua nguo kisha washa moto nasikia huwa wanatoka nduk cha muhimu ni kutembea na all sources of fire
Hivi mmeshamuelekeza namna ya kujilinda na nyegere.......au mbuni.....?....porini kubaya jamani........
Nishasikiaga habari za huyu nyegere kwamba ukiwa porini ukimtaja tu huyoo..tena wakaenda mbali zaidi wakadai wanapenda zaidi "HASHUA"..kwamba wanazinyofoa.
kinyesi utakachojinyea ujipake ile harufu hawatakusogelea
wAAQqqCaeS
assessments eee as EARDa AAÀ setae a
assessments AWqAtQARRRwRRQvwAtaArqqAqQSZAWWAgqaCeee as EARDa AAÀ setae aQ
never turn your back on them, simba na chui, pure born killerz, lyk any other killerz wit conscience, they cant kill whle lookin at ur eyes. ni binadam pekee mwenye uwezo wa kuua huku anakuangalia
assessments AWqAtQARRRFÀEeswRRQrAy|`£sssd6vwAtaArqqAqQSZAWWAgqaCeee as EARDa AAÀ setae aQWaQAQqwAQaQQA
Hicho kimnyama kisenge kweli...
in short kaa kimya usipige kelele atapita tu hata kama ana njaa pia usimwangalie sana,mcheki kwa machale tu
Vua nguo zote ukae uchi wa mnyama
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ni jambo jepesi sana. Ukikutana na wanyama hao mnyooshee mikono juu MOLA wako kwa maombi ya sekunde za mwisho za kuishi duniani ili usisikie maumivu wakiingiza meno yao kwenye mwili wako.
Na hizi ni nasaha za kwenye signatures za JF:
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto" - Ndibalema
shuka halina mfuko - Washawasha
There are things in life that are very difficult to explain.... The Boss
,,,,,,,,Jisachi - KakaJambazi
Sio Kila Mchina anauza Dawa za Makalio,wengine wajenzi wa barabara...WATCH OUT - Smile
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" - watu8
ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala!!! - Mndengereko
"Bunduki bila risasi yaua namna gani" - Kaizer
#Usione Niko Kimya Nasubiri Uropoke# - A-town
'YOUR MIND BELONGS TO YOU,DON'T LET DEVIL USE IT AS TRASHCAN' - REMSA
Na walipoulizwa kuhusu "cheating" baadhi ya majibu yakawa hivi:
ayaa sa haya ndio maswali gani.....
wengine wachumba zetu wako hum hum ukijibu tu
PM inaingia hapo hapo kuwa tusijuane...Sim wala haitumii
Nimewahi, maisha yanasonga
Ni ngumu kumesa,wale wenye fake ID tu tena unknown watasema ukweli.
Sijawahi na sitowahi!!
Ngumu kumeza.
never ever
:car: :car: Napita tu!!!!
Mara kibao tu na sijui kama ntaacha. K zimezidi kuwa tamu, warembo wamegoma kusema no sasa mi nifanyeje?
sijawhi kumsaliti mpenzi wangu
Natamani nione nilivyokwisha salitiwa; nitarudi
Maswali gani sasa hayaa ebo!!!
napita ..
tuanze na wewe...
Usaliti upi sasa wewe dogo usaliti kijumla au na mtu wa karibu? usaliti kijumla mbona ndio maisha ya kawaida tunayoishi wanadamu wa leo au wewe uko dunia gani aisee
Sijawahi na hakuna sababu itakayonifanya nimsaliti.
sitarajii kumfanyia usaliti.
those are secrets people take to the grave
Mmepewa bure, toeni bure.. Period!!!!! :amen:
Nalog in.
Nitarudi
ctaki kuachika mie
Sijawahi kusaliti wakati tunaelewana,vurugu vikishaanza namtafuta wa mwingine