Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

na huyu ndio mhenga aliewaita wanachama na washabiki wa timu 1 ya mpira wa miguu pale k`koo mbu mbu mbu

Sent from my LG-D858HK using JamiiForums mobile app
Yaani umemaanisha mosquito mosquito mosquito [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Wakuu, watu wa zamani maarufu kama 'wahenga' ni watu ambao walikuwa na vimisemo vya hovyo kabisa vilivyoturoga na kutusababishia umaskini mkubwa sana. Tafsiri nzuri ya maneno yao ya mafumbo haikuwa wazi, kila mtu anatafsiri kivyake.

Ni ajabu sana mtu mzima na akili zake kuamini maneno ya wahenga. Karne hii ya kuamini hayo mafumbo ya hovyo miaka mia 2 iliyopita.

"Mgagaa na upwa hali wali mkavu,asiye na mwana aeleke jiwe,zimwi likujualo halikuli likakwisha". Maneno ya ajabu kabisa haya.
 
Bhana usitusumbue hapa kwan wao walivyokwambia fuata nyuki ule asali walikuwa wajinga?
 
Kuelewa maneno ya wahenga na kuyatafsiri ipasavyo inahitaji akili ya ziada,
Mleta mada nilidhani utaleta hiyo misemo ya wahenga na kuipinga kwa hoja lakini hukufanya hivyo zaidi ya kuleta picha tu!

Kumbuka kila zama na kitabu chake,hata haya tuyafanyanyo sisi miaka hii basi miaka ijayo ya new generation tutaonekana pia tulikua tunafanya vitu vya ajabu.
 
nasubiri wahenga watoe tamko kuhusu kubeti
 
Naona Hii Ndo Ile Operation Tokomeza Wahenga Eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…