Huyu mhenga ukiishi nae ni raha
Muhenga aliyesema Mwili haujengwi kwa Matofali.
Nadhan umewaona waliosema akir ni nyweleeWhat?
Huyu alisema akili ni nywele kila mtu ana zake.
Usiwaongopee wanajukaa
Wahenga hawa ndio waliosema "akili ni nywele kila mtu ana zake"