Kitu kinacholeta utofauti wa bidhaa zako na zile zilizopo kitaa kama zako ni bei! Ukitubandikia tangazo la biashara bila kuweka bei sio tu unawapotezea watu muda na bundle zao bali na wewe unajipotezea biashara. Weka bei na linganisha na bei ya mtaani!