Compressor ya A/C ya gari

Compressor ya A/C ya gari

ngofoman

Member
Joined
Jan 8, 2023
Posts
53
Reaction score
39
Msaada hio compressor inaunguruma kama nyuki nikiwasha gari. Baada ya kuanza kuunguruma hivyo sipati tena ubaridi ndani. Sasa sijui kama compressor ndio imekufa au inawezekana kutengenezeka au ndio nijipange upya. Gari ni carina.
 
Fika kwa fundi aicheki huenda imekufa
 
Msaada hio compressor inaunguruma kama nyuki nikiwasha gari. Baada ya kuanza kuunguruma hivyo sipati tena ubaridi ndani. Sasa sijui kama compressor ndio imekufa au inawezekana kutengenezeka au ndio nijipange upya. Gari ni carina.

Comperssor haitengenezeki laba kamba imekufa vitu vya nje kama pulley.

ila kama ni ndani kwenye ma piston ni kazi.

lakini pia mfuko wa AC sio compressor tuu. kuna vitu kama gas, expansion, condenser, kuna filter na piping kwa ujumla. sasa sijajua kwanini umewaza compressor. By the way unaweza kuta Pipe imeziba na compressor haina pa kupeleka gas lazima italia tuu. mambo ni mengi tafuta fundi akague
 
Umesomeka nashukuru
 
Back
Top Bottom