Fika kwa fundi aicheki huenda imekufaMsaada hio compressor inaunguruma kama nyuki nikiwasha gari. Baada ya kuanza kuunguruma hivyo sipati tena ubaridi ndani. Sasa sijui kama compressor ndio imekufa au inawezekana kutengenezeka au ndio nijipange upya. Gari ni carina.
Msaada hio compressor inaunguruma kama nyuki nikiwasha gari. Baada ya kuanza kuunguruma hivyo sipati tena ubaridi ndani. Sasa sijui kama compressor ndio imekufa au inawezekana kutengenezeka au ndio nijipange upya. Gari ni carina.
Umesomeka nashukuruComperssor haitengenezeki laba kamba imekufa vitu vya nje kama pulley.
ila kama ni ndani kwenye ma piston ni kazi.
lakini pia mfuko wa AC sio compressor tuu. kuna vitu kama gas, expansion, condenser, kuna filter na piping kwa ujumla. sasa sijajua kwanini umewaza compressor. By the way unaweza kuta Pipe imeziba na compressor haina pa kupeleka gas lazima italia tuu. mambo ni mengi tafuta fundi akague