Wadau nauza compressor hiyo niliinunua kwa ajili ya kufunga kwenye mashine yangu bahati mbaya imekuwa ndogo haina nguvu ya kusukuma machine, ninaiuza ili nami niongezee ninunue compressor ya dungu ya horse power moja na nusu. BEI MAELEWANO JAMANI NAPATIKANA DAR BADO SIJAIFUNGUA KWENYE MASHINE.