Computer engineering,ukishasema engineering jiandae na designing za database,computer networks(Networking),Security,software engineering.Kama ni computer negineering and IT,hapa ujiandae kusoma course za telecom ingawa wengi huwa wanazikimbia.Ajira inategemea ukitoka chuo utakuwa na nini kichwani baada ya kusahau ulivyofundishwa,ila zipo nyingi ila mshahara inategemea na kampuni,ukifanya kwenye kampuni la telecom au ISP au linalohusika na IT utalipwa vizuri ila ukifanya kwa kampuni za kawaida ambazo core business yao si mambo ya IT ila IT inawasaidia kurahisisha kazi story itakuwa tofauti from one company to another.Unatakiwa uwe mtu ambaye unapenda kusoma,kujifunza vitu vipya,kama wewe ni mvivu wa kusoma opt kwingine coz technologia inabadilika dairly.