Acha utani asee!!!!laki tatu imekuwa ualimu!!!!!!c certificate hiyo baba!!!
Acha utani asee!!!!laki tatu imekuwa ualimu!!!!!!c certificate hiyo baba!!!
Kaka serikalini kuna range zake, Mashirika yana kiwango chake na private companies yana viwango vyake...Hapo inakuwa ngumu kupredict..ila kwa serikali inaanzia laki 3 na 80.
<br />Kaka serikalini kuna range zake, Mashirika yana kiwango chake na private companies yana viwango vyake...Hapo inakuwa ngumu kupredict..ila kwa serikali inaanzia laki 3 na 80.
<br />Siamini wadau mnachosema!!!Dah Kwa hiyo programming nnayokesha nayo haitonisaidia!!!mungu wangu!!!!,laki tatu!!!! ni bora nikapige tempo la kufundisha!!!!!Programming kumbe haina dili kabisa!!!!!!!!!!UWWIIIII!
Siamini wadau mnachosema!!!Dah Kwa hiyo programming nnayokesha nayo haitonisaidia!!!mungu wangu!!!!,laki tatu!!!! ni bora nikapige tempo la kufundisha!!!!!Programming kumbe haina dili kabisa!!!!!!!!!!UWWIIIII!
mbona unawaza kuajiriwa tu,unajiingiza utumwani mbona hiyo fani bomba sana,tafuta za individual consultants au part time huku unajijenga ili siku moja na we uwaajiri wengine hakuna raha kama hiyo