Petersaidia
Member
- Jul 21, 2022
- 5
- 7
Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience.
Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ kwa miaka 4 ambayo yanahusiana na
Nidhamu
Utiifu
Ujasiri
Uwezo wa kufanya kazi
Ukakamavu
Kujitolea
Uokoaji
Utayari
Nina miaka 22 tu ni mvulana nipo dar ninauwezo na nguvu za kufanya kazi yako kwa haraka na skillsfull kubwa na ninaweza kufanya kazi kwenye company, brand, project, business n.k
NOTE
Sichagui kazi weka Oda yako ya kazi hapa nikufuate inbox tuongee.