Bei ni 230k nipo dar
Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita)
Unapotaka kuingia kwenye setting za bios mfano kwa kupress f12 mara nyingi inapowaka inataka uweke password mfano unataka kuset boot order, secure boot tpm n.k