Computer inawaka na kuzima

Computer inawaka na kuzima

kiboboso

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
9,323
Reaction score
12,594
Wakuu msaada wenu hapa.

Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga wowowte kwenye screen.

Wazee wa tech msaada wenu hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Yani mnasoma tu na kukimbia bila kutoa ushauri?
 
Hamna msaada au? [emoji849][emoji849]
 
Toa betri na tumia moto direct , check kama inawaka ,halafu leta mrejesho
 
Hilo tatizo liliitokea pc yangu ikakaa mwezi mzima bila kuwaka.

Jaribu kuchomoa ram isafishe then irudishe.

Solution 2: kwanza toa battery na chaji then chomoa CMOS battery na kuiacha kwa dk 5.
Wakati unasubiri hizo dk 5 zipite wewe unabonyeza kitufe cha kuwasha pc kwa dk 1 then acha.
Baada ya hapo rudisha CMOS battery then usiweke battery ya kawaida bali chomeka waya wa chaji then washa pc.

Angalizo: kama CMOS battery ipo ndani kabisa ya pc basi usifungue pc kama huna experience au uzoefu wowote sababu kuna asilimia kubwa ya kusababisha damage nyingine.
 
Hilo n tatizo la hard ware S soft ware fata ushaur wa teenager
 
Back
Top Bottom