Computer4Sale Computer Laptop HP PRO-BOOK 450 G4 inauzwa bei sawa na bure

Engineering gani haswa? Maana kusema 'inafaa kwa engineering' ni sawa na kusema 'chakula hiki kinafaa kwa binadamu.' Ni kweli, lakini bado kuna maelezo muhimu yamekosekana.
Mkuu nimeweka hapo specification zote, ukiangalia utaona sijaficha kitu ata kimoja.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu, karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…