Habari,
Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi.
Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako.
Kwa wale wanaohitaji kufungiwa CCTV cameras, watahudumiwa weekend tu.
Napatikana kigamboni Dar. tuwasiliane PM kwa maelezo zaidi.
Karibuni.