Computer Security for Managers and Personal Assistants

victorgeorge

New Member
Joined
May 30, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Poleni na kazi wote,

Kuna kozi fupi (wiki 2) inayolenga kutoa ufahamu kuhusu mambo ya usalama kwa watumiaji wa kompyuta - iwe kwa matumizi binafsi au hata ofisini. Ni kozi inayolenga watu ambao si IT/ICT/Computer professionals. Hata hivo wanaweza kujumuika nasi.

Ni kozi muhimu sana,

Fungua kiambatanisho kusoma habari zake zaidi. (Viambatanisho vyote viwili vina habari sawa). Fungua chochote.

Na pia unaweza kubofya hapa chini;

http://www.iaa.ac.tz/downloads/security.pdf

Karibuni wote.

NB: Samahani sana kwa jana kutoweka viambatanisho pamoja na link.
 
Attachments

unajua maana ya kiambata au labda mm nafaham tofauti?:shock:
 
Anayetaka kufundisha "Computer Security" kumbe hata kuattach document hajui!!! Vinginevyo mimi sioni vizuri! Hata hivyo ujasiriamalia hauna mipaka. Utawapata tu.
 
Anayetaka kufundisha "Computer Security" kumbe hata kuattach document hajui!!! Vinginevyo mimi sioni vizuri! Hata hivyo ujasiriamalia hauna mipaka. Utawapata tu.

samahani sana mkuu kwa kutuma habari amabayo si kamili. sikuweka kiambatanisho na wala hakukuwa na link. sasa vimewekwa.
 
Mkuu, PROFILE yako katika masuala ya IT imekaaje?
Hili lina umuhimu pia, sana tu!

Mkuu wafundishaji watakuwa kadhaa. Binafsi nina Masters in IT related discipline pamoja na Advanced diploma. in IT. 9 years experience of teaching IT/Computer related courses at a Higher learning institution. Other facilitators will add more.

The short course is for non IT/Computer professionals.

My team strongly believe these people need not only know how to use software, Computers and the Internet, but they should be kept aware of their security.
 
Umesomeka vyema kamanda, kila la kheri katika ujenzi wa Taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…