Computer yangu haiwaki

Computer yangu haiwaki

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Kwema wakuu.
Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie .

Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate..
Hakuna kinachofunction .
Chief-Mkwawa
 
umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja.

pia hakuna mlio wowote unaotokea?
 
Hakuna mlio wowote mkuu.
Pia Ina ram moja na ni desktop computer
 
Hakuna mlio wowote mkuu.
Pia Ina ram moja na ni desktop computer
kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa.

kama una uzoefu kidogo fungua hakiki kitu kimoja kimoja, pin za power supply, socket ya processor, kama kuna vumbi vumbi safisha etc.
 
Ndiyo mkuu nimehakiki..
Fan hazizunguki
 
Ni computer aina gani? Model gani?

Hiyo power button inawaka rangi gani? Na inawaka tuu au inablink?
 
Back
Top Bottom