Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja.Kwema wakuu.
Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie .
Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate..
Hakuna kinachofunction .
Chief-Mkwawa
Hakuna mlio wowote mkuu.umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja.
pia hakuna mlio wowote unaotokea?
kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa.Hakuna mlio wowote mkuu.
Pia Ina ram moja na ni desktop computer
Ndiyo mkuu nimehakiki..kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa.
kama una uzoefu kidogo fungua hakiki kitu kimoja kimoja, pin za power supply, socket ya processor, kama kuna vumbi vumbi safisha etc.
Inawezekana power adopter haipeleki moto, jaribu nyingine kwanzaKwema wakuu.
Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie .
Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate..
Hakuna kinachofunction .
Chief-Mkwawa