Comrade Kipepe: ID iliyokaa kikomedian inayonikosesha watoto wakali hapa JEIEFU

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
eeebanaaae!! ama hakika warembo wengi wanakuja PM wakiniambia wanapenda Jinalangu mazeee,.

duuuh! kuna demu mmoja hivi eti ananiambia anapenda niwe rafiki yake tuu lakini tusiwe na uhusiano wa karibu zaidi.

eebana hiyo ni ID tuu mazeee [emoji23]
haifanani namimi kabisa waseee.

wakati nafungua account ni jina lilikuja tuu from no where kwanza nilitaka nijite madenge.

duuuh! wengine wananiita eti muhuni kutokana na [emoji723] yangu.

hapa ni kichaka tuu wazee tunajificha, uhalisia wa maisha ya mtu na [emoji723] yake ya hapa JF ni vitu viwili tofauti.

tusichukuliane poa, huwezi jua labda kipepe ni mkuu wa Wilaya fulani anakuja tuu hapa jamvini kuropoka.
 
Usipokuwa makini na ID yako utarukwa ukuta unguja.
 
Si ulisema umeshampata mrembo wako wa maisha?
Hao watoto wakali unataka bifu?
 
What is so special na ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoa

Nothing special there
 
Back
Top Bottom