comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
eeebanaaae!! ama hakika warembo wengi wanakuja PM wakiniambia wanapenda Jinalangu mazeee,.
duuuh! kuna demu mmoja hivi eti ananiambia anapenda niwe rafiki yake tuu lakini tusiwe na uhusiano wa karibu zaidi.
eebana hiyo ni ID tuu mazeee [emoji23]
haifanani namimi kabisa waseee.
wakati nafungua account ni jina lilikuja tuu from no where kwanza nilitaka nijite madenge.
duuuh! wengine wananiita eti muhuni kutokana na [emoji723] yangu.
hapa ni kichaka tuu wazee tunajificha, uhalisia wa maisha ya mtu na [emoji723] yake ya hapa JF ni vitu viwili tofauti.
tusichukuliane poa, huwezi jua labda kipepe ni mkuu wa Wilaya fulani anakuja tuu hapa jamvini kuropoka.