Comrade kipepe: KIPAJI CHA SOCCER KILICHOPOTEA

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Aseeee!
Ball control, ball balance,stamina,shoot with both feets!

Ebaanaee hizo ni baadhi ya sifa zangu enzi hizo nikiwa kitaa naupiga mwingi.. Ebbana kama mtaani kwetu kipindi kile kungekua na maskaut ungekuta kwa sasa nipo barcelona.

Aseee nilikua ni kipaji halisi cha mpira, nilikua naupiga mwingi sana asee! Yani mbungi si la mchezo! Zile OUTER PASS, SEMI-LOCOMOTIVE FEINT, LONG RANGE SHOOTING, DRIBBLING, PASSING ACCURANCY ni baadhi ya vitu nilivyokua nikiviapply kunako dimba!

Namba yangu ilikua 10 nikiplay role ya "inside ten" nikicheza deep zaidi, nikichukua mpira kwa namba 8 na kupanda kwa kasi kuelekea kwenye lango la adui.

Nakumbuka mashabiki walinibatiza jina zidane! Pale nilipoingia kipindi cha pili na kupiga kamba tatu mwenyewe kwa guu langu la kuume.

Aseee nikikumbuka duuuh! Kutokana na mapenzi ya soccer Ndio maana kwasasa Comrade namiliki kampuni ya kubet ili kuenzi kipaji changu cha soccer.


Wayaaaaaa

 
certified muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…