Comrade Ndodi arejea kutoka mafichoni

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Yule jamaa aliyetikisa miaka ya 2017 anasikika live kupitia RFA nadhani tumsikie kama atakuwa na jipya au ni yale yale ya upigaji.

Namsikia anasema amekuja kivingine πŸ˜‚ eti, muinjilisti πŸ˜‚.
 
Aisee karudi,,acha aendelee kupiga hela,
watu wengi ni wagonjwa,
Anakwambiakwa dar shuka mbezi kwa ndodi
Nimecheka πŸ˜€ eti anakwambia hilo jina la kituo cha daradara majirani ndiyo wametaka kiitwe hivyo kwa heshima yake, aseee huyu jamaa ana visa.
 
jamaa yangu nilimsindikiza hadi hoteli moja Mwanza(jirani Salma Cone),Ndodi alipanga juu ghorofani na tatizo LA rafiki yangu ni uzazi

nilibaki nje pembeni ya mlango...huku ukiwa wazi

rafiki yangu aliniambia baadae kumuona ni 50k @ na yapasa muwe pair...baadaye akaendelea kusema matibabu ni around 100k+ na ilibidi akatishe dozi

rafiki yangu alikaa muda mrefu bila mtoto na ni ki.tombi tosha

Tofauti na kwa Ndodi pia nilipata kumsindikiza kwa Karismatiki Katoliki

haukupita mwaka mkewe akamzalia a baby girl



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule jamaa aliyetikisa miaka ya 2017 anasikika live kupitia RFA nadhani tumsikie kama atakuwa na jipya au ni yale yale ya upigaji.

Namsikia anasema amekuja kivingine πŸ˜‚ eti, muinjilisti πŸ˜‚.
Nimezimiss mada ya ulevi na walevi ya Mshana Jr CONSTABLE MPENDWA, huyu Dr. Ndodi naona anakuja na K Vant za upako
 
alikuwa ananifurahisha kwenye zile dozi anazompatia mgonjwa,anakwambia chukua malimao 7,ukwaju loweka glas mbili kubwa,tangawizi mbichi tatu,pilipili mbuzi iliyokauka nk.Yaani huo mchanganyiko unakutia imani kwamba hapa nimepona kumbe anacheza na saikolojia yako ila kinachokuponya pale ni imani yako kwamba nimepata dawa kutoka kwa Dr mbobezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni mwinjilist tangu akiwa mdogo
Ila uinjilisti kwenye madawa ni zaidi ya uinjilisti maana, soma hiyo πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…