GE2025 Comrade Steven Wassira kukutana na wanaCCM Arusha Mjini tarehe 31/8/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Mkongwe anayezeeka huku akili zake zikiwa mpya atakuwa na kikao na wanaccm Arusha kesho saa saba mchana.
Hii ndio CCM na hizi ndio kampeni
 
Mkuu 'funaku', nilikuwa sijatambua nafasi yako katika yote haya nilipo jibishana kwa kiasi na wewe leo; kwwenye mada hizi hizi za Kampeni za uchafuzi wenu.

Kumbe wewe ni kiungo muhimu kwenye kuendelea kuinajisi nchi yetu?
Nashukuru sasa nimejuwa, na kukutambua rasmi hivyo.
 
Naona safari hii kuna mashimo mengi sana yanayo hitaji kusawazisha kuelekea kwenye kilele cha kuinajisi Tanzania hapo Oktoba; kama kweli tutapafikia huko kabla gari halijapinduka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…