Concealed Shower Mixer/ Shower Za Kuchimbia

Joined
Dec 11, 2021
Posts
45
Reaction score
54
Katika Kufanya Bathroom yako kuwa ya Kisasa na Ya Kuvutia..Shower Mixer za Kuchimbia Ukitani ni best option.

Installment yake ni Kwa kuanzia hatua za Awali za Kutengeneza mfumo wa maji safi na taka katika nyumba, ambapo FUNDI lazima ajue aina hii ya shower itawekwa lakini hata baadae anaweza kutindua na kuweka fittings zinazo sapoti aina hii ya shower mixer.

Ubora wake ni 100% na ina 5 years Warranty

Ikiwekwa imewekwa
Hakuna kuhofia kuvuja au shida yoyote itakayofanya utindue ukuta baada ya kuwekwa.
Rangi
BLACK
GOLD
CHROME

Concealed Shower Mixer
Zinapatikana Dukani kwetu Kwa bei ya Ofa ya 350,000/= Kwa Moja.

Tupo Gerezani Kariakoo
Mtaa wa Nyamwezi na Kiungani
0714883861
goodtronicshardware@yahoo.com

 
Kwani shower nyingine zikoje? What is concealed here? Mbona kawaida tu
 
Kwani shower nyingine zikoje? What is concealed here? Mbona kawaida tu
Chief hapo concealed ni bomba ya kupitishia maji, utofauti wake ni kwamba kuna nyingine bomba zinapitia juu ya plasta!
 
Chief hapo concealed ni bomba ya kupitishia maji, utofauti wake ni kwamba kuna nyingine bomba zinapitia juu ya plasta!
Aisee! Basi mimi nimezoea kuona bomba zote zinapita ndani ya ukuta nikajua ni kawaida tu.
 
Hio frame inauzwaje?? ikiwa na vioo vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…