Nitakuja kuzungumza hapa,ngoja nimalizane na wife(Kaunga)si mnajua w/end hii!
Mi najua huwa inatokea tu hii ya kuchagua mrefu,mfupi ni vya ziada tu...hivi hushangai wale watu wanaojua kusema/kuchambua mtu esp. kwa wanaume utakuta jitu linajidai linajua sana wanawake wazuri akija kuoa unashangaa kaoa kituko tofaut na yale aliyokuwa anayaongea...so inatokea tu bila kupangilia.
Umeona eeeh...mambo ndo kama hivyo ndugu yanguata shemeji alikua anasema hayo maneno nashangaa eti kagota kwako... hahahahaha
Ronn M
Kuna kupenda automatically hii mara nyingi haiangalii sana vitu vya nje na ukiulizwa umempendea Johari nini, huwezi pata jibu.
Kuna kuwa attracted na mtu ambapo baadaye huresult kwenye kumpenda. Hapo ndipo unaweza sema nimempendea Beatrice miguu yake, tabia yake etc.
Sasa swali ni je una~identified characteristics za mtu ndio 'unaamua kumpenda' au you happen to love her/him automatically without considering those qualities?
it is a bit weird i guess... mara nyingi unakuwa na vigezo fulani fulani kwenye akili yako ambavyo mtu akivi-meet, anakuvutia.... kupenda kunakuja kwenye next level baada ya kuona mna-click together
Kaunga, hivyo ndio kusema unavutiwa na m2 kisha kumpenda 'kunakuja' baadae? Utakuwa unampenda yeye au the specific part which attracted you?
Unaweza kuwa attracted na ucheshi wake, sauti, sura, 'pesa', umbo lake. Yaani kuna kitu kinachokufanya umuadmire, mkiwa pamoja unaweza kumpenda kwa undani zaidi!
What if akatokea mwingine mwenye vigezo hivyo? Will love shift?
Unakuwa attracted(unavutiwa),(unatamani).toka lini mtu akampenda mtu bila kuwa na qualities fulani kwake anazopenda,msijidanganye,kwenye kupenda kuna kutamani,huwezi mpenda mtu bila kumpenda.Na ndiyo maana vijana wengi wanashindwa kuelewa nini maana ya 'upendo'.Kuna love na chemistry(attraction).Kuna mtu atasema nampenda sana rose,mwingine atasema nampenda sana betty.Why?,kuna somethin behind that so called LOVE..
Does that reason has to be specific or just general qualities of a person that differentiate him/her from the rest? I mean, figure, status, money are they right reasons for love according to your school of thought