Kuna vipengele kadhaa najaribu elewaApart from standardized nominal mix, that mostly used at situ , and structure construction, let now try to calculate at available data of designing advanced mix depending the requirements of clients and quality standards.assuming other factors are constant .How to design M40.
Welcome on the field!!
View attachment 2950477
1&2. (Minor ).Kuna vipengele kadhaa najaribu elewa
1.Kwenye Calculation ya water content ratio,imeandikwa from table 2,,lakini sijaiona hiyo table 2
2.Volume of concrete imepatikanaje kuwa ni 1m³
3.Density ya maji imekuwaje 140kg/m³
So Density of water yaweze kuwa 140kg/m³ au hapo kuna makosa ya Unit1&2. (Minor ).
Qn3, (197x(100-29)% :®(super plasiticer reduced water up 29%=0.71)=140kg/m³.
Minor kivipi,nilikuwa napitia page moja mpaka nyingine, sijaona jinsi zilivyopatikana1&2. (Minor ).
Qn3, (197x(100-29)% :®(super plasiticer reduced water up 29%=0.71)=140kg/m³.