Nna assume umetumia 'wadada' kuwakilisha 'wanawake'.
Ninakujibu kwa experience niliyonayo. Wadada wengi walio kwenye mahusiano ya boyfriend/girlfriend/uchumba huwa hawajali matumizi ya Condom. Wadada walioko kwenye ndoa zao, wanapotoka nje ya ndoa wengi wanajali kondom. Wadawa ambao wapo kibiashara zaidi (wadadapoa) ndio wanajali suala ya condom kupita wengine wote.
Hiyo ni kweli kabisa Ila swali langu ni hili Condom za kike Hazitumiki ka za kiume.
Kwa mfano siku si nyingi hapo nyuma kulikuwa na tangazo la kondom ya kike inaitwa LADY PEPETA siku hizi silisikii kabisa.
Ila sasa ukija upande wa pili Condom za kiume zinatangazwa sana, tena na mbwembwe kibao kama studed,ribbed, tatu bomba na nyingine nyingi.
Nawalisha