Condom kupasuka

Condom kupasuka

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
hivi condom ikipasuka wakati unaitoa kwenye uke wa mwanamke kuna madhara yoyote???
 
Madhara kwa nani...mwanamke au mwanaume? Jina lako halina jinsia kwa hiyo imekuwa vigumu hata kuguess..
 
hakuna shida maana kazi ya condom ni kuzuia kuchubuka. Kama ulikuwa unatoka kazi yake imeshaifanya. CONDOM INAZUIA MICHUBUKO TU BASI. VIRUS WANA[PITA KAMA KAWAIDA. HILI NI TATIZO KUBWA KWA WATU WENGI USIPAPAPTIKE NA CONDOM TU JIELEIMISHE UELEWE.
UNIQUE
 
Madhara gani?kuambukizwa virusi au kupata mimba?ilipasukia ndani au?
 
Madhara kwa nani...mwanamke au mwanaume? Jina lako halina jinsia kwa hiyo imekuwa vigumu hata kuguess..
naongelea virus na kupasuka imepasukia wakati mzigo umeshatoka na nachomoa mashine
 
madhara kwa mwanaume kaka...
 
Back
Top Bottom