Condom milioni 9 zimeingia Tanzania

ChikoTz

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
37
Reaction score
33
Leo MSD wametangaza kuwa zimeingia condom za wanaume milioni 9 hapa nchini kwetu na zitaanza kusambazwa nchi nzima sasa mimi nataka kuongea nao wasisambaze nchi nzima bali wasambaze kwa member wote wa kiume wa JF

Hapo mnaonaje[emoji12][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali, jana nilikuwa mkoa fulani nilitafuta condom kwa shida sana, mwishowe nikapata mahali zimebaki pakiti mbili tu aina ya Fiesta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…