chloe.obrain
JF-Expert Member
- Feb 25, 2010
- 391
- 21
Sitamwambia kitu, nitarudi nazo zote bila kuzitumia......
Ofkoz, nitanunua nyingine kwa matumizi yangu....ila hicho kitendo kinaongea kwa sauti kubwa sana!

habari zenu great thinkaz!!!
Jamani dada/mama aliyeolewa au anayeishi na mwanaume kama mume na mke naomba kuuliza, Je ni vema kumwekea mumeo Kinga i mean Condoms kwenye begi anaposafiri kwenda mbali either kikazi,kibiashara au vyovyote ilimradi atakuwa mbali nawe kwa muda???
Kwa kaka/baba aliyeoa au anayeishi na mwanamke kama mume na mke, utajisikiaje mkeo/huyo unayeishi naye akikuwekea condom kwenye begi wakati unasafiri and what will you tell her???
Tujadili jamani!!
Unaweza kumwekea lakini asizitumie. Kwa kifupi haisaidii hasa kama ameshazoea 'voda kwa voda'! Sana sana itazidi kuongeza mapsuko kwenye mahusiano yenu.
Kuna condom za kike siku hizi, vipi mumeo akikuwekea kwenye begi wakati unasafiri utajisikiaje?
kwa nini msiongee hayo mambo na kumuonya asitoke nje ya ndoa? mie nikiwekewa kondomu nakugeuza kibao kuwa unanishawishi nitoke nje ya uhusianohabari zenu great thinkaz!!!
Jamani dada/mama aliyeolewa au anayeishi na mwanaume kama mume na mke naomba kuuliza, Je ni vema kumwekea mumeo Kinga i mean Condoms kwenye begi anaposafiri kwenda mbali either kikazi,kibiashara au vyovyote ilimradi atakuwa mbali nawe kwa muda???
Kwa kaka/baba aliyeoa au anayeishi na mwanamke kama mume na mke, utajisikiaje mkeo/huyo unayeishi naye akikuwekea condom kwenye begi wakati unasafiri and what will you tell her???
Tujadili jamani!!
kwenye red kinaongea nini??