Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 85
Kondom za hot zilizopigwa marufuku kenya na zambia, zinauzwa hapa tz. nimeona kwenye taarifa ya habari leo asubuhi. mimi sijawahi kutumia kondom, kwasababu sihitaji, nina mke na watoto wetu manake. sasa kazi kwenu washabiki wa condoms, kwasababu kama mlishatumia, nasikia zina vitobo vinavyoingiza majimaji. kama kweli huo si mtandao wa shetani kuangamiza watu wanaofanya ngono, kutengeneza condom ni nini hiyo? mbona sasa wanatengeneza halafu wanaweka na vitobo ili ziingize majimaji ili mpate ukimwi zaidi|? bado tu mnaziamini kondom au mnaamini kwenye kusubiri na kuwa na mke mmoja kama mimi?