Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Wakati tunapambana na mfumuko wa bei kumbe sikujua hata condom nazo zimepanda bei juzi wakati nipo safari usiku ule nilivyofika bar moja nimekunywa wakati naondoka zangu kulikuwa kuna mrembo nilimuomba kampani akakubali usiku ule nilinunua kondom pakiti mbili za kutumia usiku ule na asubuhi nilitoa elfu 10 kwa mangi nikarudishiwa elfu 8000 sikuona haja ya kuuliza kwanini ameniuzia bei kubwa
Siku ya pili niliingia dukani uswazi ili ninunue kondom za akiba ndio hapo nilipojua kumbe kondom zimepanda bei kutoka mia 5 hadi elfu moja kwa pakiti moja
Siku ya pili niliingia dukani uswazi ili ninunue kondom za akiba ndio hapo nilipojua kumbe kondom zimepanda bei kutoka mia 5 hadi elfu moja kwa pakiti moja