Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Nme taka kuuziwa buku 2 nka kataa pemben kuna ki dispensari nkaenda kuchukua za not for sale
Nimecheka kifala 😂😂
Aje nimpunguzie, nilipewa zahanati kwa section ya Uzazi wa MpangoPole sana. Itabidi uwe unatafuta za bure kwenye zahanati.
Mbona condom ni buku kitambo
Hahahaaaa..... Naomba umsaidie jamaa, hakuna namna. Wewe Iringakwanza, ongea na bidada hapa anazo za kutosha.Aje nimpunguzie, nilipewa zahanati kwa section ya Uzazi wa Mpango
Hizo hapana ngoja nikomae tu na beiHahahaaaa..... Naomba umsaidie jamaa, hakuna namna. Wewe Iringakwanza, ongea na bidada hapa anazo za kutosha.
Sawa mtoto wa daktariKwanza condoms mnazitumiaga wapi nyie....☹️ ebu mtuache tuendelee kupata raha bana, na tusitishane...🤨
Ni kweli kwenye maduka ya madawa bei ni hiyo muda mrefu ila Maduka ya mangi condom nilikuwa nanunua 500 huku nilipo sasa nako naona zimepandaMbona condom ni buku kitambo