Yah:
Kuadimika kwa condom
Kwa kipindi kirefu kidogo kumekuwepo na upungufu wa condom katika maeneo mengi hari hii inatuathiri sana sisi wazinzi lakini waoga wa kuukwaa ukimwi
Maambukizi mapya yamepungua wanataka yapande kwa kiasi kikubwa
Wanakusudia kutuletea condom mpya yenye kasi ya 4g kwenye maambukizi
Tusilemae condom mpya hatutatumia