Confederation cup final

Hongera sana Raja Casablanca.,though js kabilie wameupiga mwingi
 
Wiki ijayo al ahly na kaizer.. katika neutral ground

Wahuni wa soweto waliomtia mnyama 4 pale soweto kama utani wanaenda twaa kombe
 
Hivi ni kwanini kila siku hizi timu za kiarabu zinashinda wao mataji? yani fainali wanacheza wenyewe kwa wenyewe tu kila siku, ni mara chache tu huona timu ya Blacks inaingia fainal
 
Hivi ni kwanini kila siku hizi timu za kiarabu zinashinda wao mataji? yani fainali wanacheza wenyewe kwa wenyewe tu kila siku, ni mara chache tu huoni timu ya Blacks inaingia fainal
Katafute kiasi anacholipwa kocha wa al ahly ndio uje tuendeleze mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…