Confession about wauza mihogo coco beach

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,370
Reaction score
5,381
Salaam wana jukwaa.

Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.

Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.

Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.

Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
 
Mishikaki ya coco beach ni sawa na punje ya mahindi.
Hao kwa kilo wanaweza kutengeneza 100k
 
Nenda na mihogo yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…