Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nami napenda kujifunza hayo maneno "confession about" imekaa kwenye kichwa cha habari yakimaanisha nini?Salaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.
Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
Wale wanaweza kuigawanya 1kg ya nyama na ikatoa 100kPortion? Inakuwa ni mingapi?
Huo mshikaki mmoja shillingi ngapi?
Wale wanaweza kuigawanya 1kg ya nyama na ikatoa 100k
Sema maana ya kqenda kuibiwa pesa ni hiyo.Maana ya kutoka kwenda kutumia hela ndio hiyo.
C. Beach wamevunja rekodi na mganga wao apewe hongeraUpigaji hadi kwenye kilo ya nyama 😁
Portion? Inakuwa ni mingapi?
Tutakwenda na mihogo yetu🤣Usiende
Lkn ni midogo sawa na punje za mahindi, mshikaki mzima haufiki kooni yaaani unatafuna unapotelea mdomoni10-15
"Ushuhuda kuhusu"Nami napenda kujifunza hayo maneno "confession about" imekaa kwenye kichwa cha habari yakimaanisha nini?
NB;Sijawahi kufika Coco beach sijui wanavyopiga mahela.Karibu kijijini Ntalikwa hapa Tabora upate mbowoto na nsansa kwa bei nafuu.
10-15
We kobbe hujambo?😅Tutakwenda na mihogo yetu🤣
Jo usiniambie hujaonjaItakuwa na ubora sana labda
VemaMbona haujautoa huo ushuhuda zaidi ya kuuliza ujibiwe?Improper uses of words."Ushuhuda kuhusu"