Confession about wauza mihogo coco beach

C. Beach wamevunja rekodi na mganga wao apewe hongera

Mara ya mwisho kwenda Coco beach nafikiri ni 2010 ama 2011 ile kishule shule,sikumbuki kama walikuwa wanauza mihogo

Nitaenda jumamosi ijayo nikajionee
 
Yenyewe isije kuwa ya meew,woow na zingine zisizo za kawaaiiidaaa
 
Hujalazimishwa kula,wamelenga wateja wao maalumu,hasa wahindi wenye hela za ndagu sio sisi hoe hae
 
Usipate shida Mzee nenda buguruni sokoni nunua mihogo ya elfu 2 nyama robo elfu 3
Tangawizi 200 kitunguu swaum 300
Tengeneza mishikaki Yako uki kata portion ndogo size ya inayo uzwa mia5 uta pata mishikaki 8-9
Kwa hiyo mihogo ya efu mbili uki kaanga mwenyewe utakula hata siku 3 na hizi gharama zote ukiweka mkaa na mafuta hazifiki hata elfu10 ....
 
Kwanini uende COCO wakati siyo levo ZAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…