Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

utagongwa na wewe siku moja....
utamu kotekote
 
Sheria ni jambia
 
Reactions: SDG
ila kuwa makini aisee
 
Reactions: SDG
Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…