sidhani...statistically hairuhusiwi! Maana kuna errors katika uhesabu nk. Huwezi kukubali matokea ya kura million 19 kwa ushindi wa kura moja!
sidhani...statistically hairuhusiwi! Maana kuna errors katika uhesabu nk. Huwezi kukubali matokea ya kura million 19 kwa ushindi wa kura moja!
Ivi statistically, mgombea urais lazima awashinde wenzie kwa percentage ngapi? Nikiangalia statistically, kama results zina 95% confidence interval...ina maana kuwa lazima ashinde by more than 5% of total votes?
Kwa hiyo kwa Tanzania...kama voters wako mil 19, je ni lazima mgombea ashinde kwa zaidi ya kura laki 9 na nusu - 950,000?
Au inakuwaje hii wakuu?
Furaha inawapeleka wasomi wa hesabu kufikiria critical value,significant level, confidence interval, teeh teeh! Ukweli ni kwamba katiba inasema hata kama jeykey ana 0 na dr.S ana kura 1 basi dr. S atashika dola,regardless ya margin. Kama mwaka huu kati ya mil.19 wapiga kura hawatazidi 14mil. ila mr. President lazima apatikane,hamna ku break even wala parameter!