Confidence za ganja

Confidence za ganja

Uuuuiiii....Ndigithia ngoma...
Hehe mkuu vipi huwa unachapa cha Arusha nini? Maanake hayo majibu ya ras Kamau ni kama yale ya usoni unayoyachapa nayo wanajamvi kwenye hoja zako hapa jf. Teh teh.🙂
 
Hehe mkuu vipi huwa unachapa cha Arusha nini? Maanake hayo majibu ya ras Kamau ni kama yale ya usoni unayoyachapa nayo wanajamvi kwenye hoja zako hapa jf. Teh teh.🙂

Hicho kitu ni cha kukaa mbali nacho, nimezaliwa na kulelewa gheto, nakumbuka nilivyokua napata burudani jamaa marafiki zangu kila wakipiga moshi na kuanza vituko.
Hehehehe!! Kuna mmoja alikua anawasha na kuzima taa ya umeme (bulb) na kucheka cheka akisifia wazungu kwamba wana akili sana, yaani eti unawasha na kuzima taa kwa kubonyeza tu.
 
Back
Top Bottom