Sikh moja nipo maeneo ya mlimani city Mara kapita mtoto mrembo sinikaanza kumfuata kwanyuma ili nilushe swaga nilipomkaribia nikamgusa bega alipogeuka tu niksishiwa pozi nikajikuta nikitamka ETI DADA UNAUONAJE MWENENDO WAKISIASA NCHINI..
Nilikosa confidence mwenzenu