Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nawashukuru wale ambao mmekwisha confirm. Kwa wale ambao wangependa tukusanyike pamoja ile jioni kabla ya "muziki wa old school" pale Columbus thibitisha nami kabla ya mwisho wa kesho ili nijua kama mahali nilipopata panatosha au nifanye adjustment. Nisije kupoteza "tujisenti" twangu. Hii ni private gathering.
Asanteni.
Cuz!....One more day left for me!...
Its on... na mimi ndio nimemalizia kufanya booking Columbus...see ya there!! I can't wait cuz.. longtime duh...
Kelly,
Eti ni airport gani ya kushukia hapo mkuu? maana naona ziko tatu hapo Ohio!
Its on... na mimi ndio nimemalizia kufanya booking Columbus...see ya there!! I can't wait cuz.. longtime duh...
Usiingie mitini kama kawaida yako.
Duh hii safi, tiketi kiasi gani mpaka huko...from hapa?
siyo ghali sana.