Elections 2010 CONFIRMED: Azizi Abood ashinda kwa kishindo Morogoro Mjini

Mabeja

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
10
Reaction score
0
Huyu fisadi wa mabasi ya Dar Moro Mhe. Aziz Abood ameweza kutumia utajiri wake kununua wapiga kura. Ameshinda kwa kishindo kuwa mbunge wa CCM 20010-2015
 
Swala sio kushinda kwa kishindo waTZ wanataka viongozi wa kuwatumikia sio watu wa kusherekea/kushabikia ushindi. Nawaasa CCM kusoma alama za nyakati. Dhana ya kishindo imepitwa na wakati. Watu wanatarajia kuona madiwani wanawajibika zaidi sio kufanya kazi kwa mazoea.
 
Acha majungu wewe! Mtu kama akiwa mfanyabiasha akagombea ubungu basi mnamwita fisadi, nambie Aziz Abood ufisadi wake. Berluscon huko kwao ni mfanyabiasha na kiongozi, cha msingi 2natakiwa 2wabane viongozi wafanyabiasha wactumie madaraka kujinufaisha ktk maslahi binafsi
 
Jamani acheni kutuletea matokeo ya uzushi hadi asubuhi hii radio one wanatangaza matokeo maana kuna utata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…