Meale Member Joined Nov 24, 2009 Posts 91 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #1 Ubunge Kigoma Mjini CCM 20,594 CHADEMA 19,414 So sad mpiganaji kaachwa kwa kura chache.
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Nov 1, 2010 #2 Meale said: Ubunge Kigoma Mjini CCM 20,594 CHADEMA 19,414 So sad mpiganaji kaachwa kwa kura chache. Click to expand... Tangu saa kumi jioni hawa walikuwa wanavutana tu baada ya CHADEMA kuwa imeshinda kwa tofauti ya kura zisizozidi 500. Naona kuna counter-attack imefanyika kati kati hapo...
Meale said: Ubunge Kigoma Mjini CCM 20,594 CHADEMA 19,414 So sad mpiganaji kaachwa kwa kura chache. Click to expand... Tangu saa kumi jioni hawa walikuwa wanavutana tu baada ya CHADEMA kuwa imeshinda kwa tofauti ya kura zisizozidi 500. Naona kuna counter-attack imefanyika kati kati hapo...
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,681 Reaction score 8,241 Nov 1, 2010 #3 Hakuna lolote wameanza kuingiza kura za wizi matokeo halali yangetangazwa jana. AIBU Kwa Chama Cha Majambazi. We won't let you have the cake.
Hakuna lolote wameanza kuingiza kura za wizi matokeo halali yangetangazwa jana. AIBU Kwa Chama Cha Majambazi. We won't let you have the cake.
kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,235 Reaction score 4,964 Nov 1, 2010 #4 uchakachuaji ndo uliokua umetawala. Kasulu na Kibondo wamewahi kutangaza matokeo mapema kuliko kigoma mjini kama sio wizi ni nn
uchakachuaji ndo uliokua umetawala. Kasulu na Kibondo wamewahi kutangaza matokeo mapema kuliko kigoma mjini kama sio wizi ni nn
KasomaJr JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 367 Reaction score 141 Nov 1, 2010 #5 Tupe matokeo ya Kasulu. Na kigoma yote Kwa zitto tunajua kalamba, Kafulila nae bila shaka...hao waliobaki jamani
Tupe matokeo ya Kasulu. Na kigoma yote Kwa zitto tunajua kalamba, Kafulila nae bila shaka...hao waliobaki jamani
M Mkandara JF-Expert Member Joined Mar 3, 2006 Posts 15,806 Reaction score 9,011 Nov 2, 2010 #6 Mh. Zitto anaikubali hii?