Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA yachukua jimbo la Meatu

Iringa mjini nako Mbega ametuachia chetu. CHADEMA JUU.
 
CHADEMA huree!!!!!!!!!!!!!! hiyo pure true nimeiona laivu Ch 10
mambo sii haba Bungeni hapatoshi
 
Kuchakachua tu kaka. Kama CCM inavyofanya Mwanza, watu wameambiwa wafunge maduka Masha atangazwe mshindi na hali ya hatari hapo hapo. Siku zote CCM ndiyo imekuwa chanzo cha vurugu na tume yake ya uchaguzi. Kama wangetangaza mapema nyamagana mbona kusingekuwa na tatizo? mbona Diallo kakubali?
 
Shibuda ashinda maswa magh. Maswa mash chadema pia, sijamkariri mshindi jina lake.
 
CHADEMA IMEPETA MASWA MASHARIKI NA MASWA MAGHARIBI. Confimed
 
bora salum mbuzi nje.Huyu mwarabu koko alikuwa kibiashara zaidi,shinyanga oyeeeee!
 
Hongera sana Kamanda SHIBUDA. Umewaumbua majambazi wa CCM.
 
Shibuda hongera sana. Mungu kakufuta machozi na zile tuhuma za kifisadi
 
Shibuda ashinda maswa magh. Maswa mash chadema pia, sijamkariri mshindi jina lake.

Anaitwa Mh. Kasulumbayi naomba uchukue hilo jina moja tu kwanza mengine utayasikia siku ya kuapishwa kwake.
 
Shibuda ashinda maswa magh. Maswa mash chadema pia, sijamkariri mshindi jina lake.
Duuuu shibuba aliyetabiliwa kifo na yule anayemwongoza jk kwenye majini kashinda duuu huleeeeee shibuda WISH UTACHUKUA NA FORM YA KUGOMBEA URAISI KWA TIKETI YA CHADEMA ILI NDOTO YAKO ITIMIE! HONGERA SANA SHIBUDA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…