Hiyo halmashauri ya Kasulu Mjini kazi ipo, patakuwa panachimbika kila kikao. Hakuna mpango wa kufunika kombe mwanaharamu apite. Safi sana wana Kigoma, mmekuwa mfano bora!
Nimependa sana matokeo ya uchaguzi mwaka huu,watanzania wameanza kuonesha kutambua maana halisi ya mfumo wa vyama vingi na inaonekana sasa elimu ya uraia imeanza kusambaa kwa wananchi wengi kuhusu haki zao za msingi.
Tena this time aliamua kukimbilia kwenye jimbo jipya la Kasulu vijijini maana Kasulu mjini alikuwa hatakiwi kabisa. Alidhani vijijini ni washamba sana and will roll over for him...