Confirmed: Dmx ni story hayupo

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
324
Clouds wataingia aibu ya mwaka na kushusha hadhi ya straight music tonight..
Vinega wako juu sana na tuko pamoja nao aisee
 
Oooop vımegwa mpango mzıma hadı choonı!
 
mbona unaleta habari kidaku. Hebu tuhakikishie DMX yupo au hayupo? Na yule bishoo Fabolous na yeye yupo?
 
DMX hawezi kuja kwenye ungese kama huu wa Wafu FM
 
mbona unaleta habari kidaku. Hebu tuhakikishie DMX yupo au hayupo? Na yule bishoo Fabolous na yeye yupo?

Nadhan jibu lako ushalipaaaataaa... Jamaa hakuepo wala nn?? Fbolous ndo likuepo
 
DMX is on parole haezi kuja. Clouds wametumia tu jina lake kupata hela, wenye ticket wana haki ya kwenda kudai pesa zao
 
Blog gani napata updates za concert hizi mbili juu ya wangapi waliingia, kama ilifana nk. Picha za matukio yaliyojiri.
 
waingie aibu mara ngapi?

Nasikia vinega wameandika historia na rai imetolewa wazunguke TZ nzima. Aluta continuaa wazeee...
tumewachoka kabisa wafu fm wapuuzi mafisadi wa huu muziki
 
Lile "Biti" alilopigwa na Sugu inaelekea lilimuingia.
Baada ya kuuliza uliza akagundua kua kumbe alikua anakuja kuwasaliti wana.
Mtu wa nje tu kagundua kua Clouds michongo yao sio wala nini, kina Jay Mo, Afande na wengineo wanashindwa vipi kuliona hili??
 

Ndo hapo sasa..
 
Bishoo alikuwepo na tena bila aibu alifanya shoo kwa dakika 30 tuu huku wasanii wa ndani wakipafomu kwa masaa mengi karibu 7.....aibuuuuu...waliofikiri VINEGA wangechemsha sasa ilikuwa kinyume....clouds shame upon...
mbona unaleta habari kidaku. Hebu tuhakikishie DMX yupo au hayupo? Na yule bishoo Fabolous na yeye yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…