Jamani za kweli hizi ? maana hawakawii kusema kuna kura toka kisiwa fulani zilikuwa hazijafika na Mama akawa kidedea, yaliwahi kutokea enzi za Msekwa (nasikia kuna visiwa vingi vina watu wachache ila kura zao zinakawia kufika na zikija ni nyingi kuliko wapiga kura!)