Jamani, mwenye mawasiliano na S Machemli awasiliane naye ili tupate takwimu hapa. Vipi kwenye upande wa President, hali iko vipi!Nipo hapa Ukerewe kwa sasa na habari za uhakika kabisa ni kuwa MONGERA G wa CCM kaangukia pua na tayari amekimbizwa hospital kwa huduma ya kwanza. CHADEMA wameshinda kwa asilimia 66% ubunge na Madiwani kibao
sishangilii sasa kwani i have smelled a RAT.
NEC wanatumia uzoefu wao wa miaka yote sasa kujaribu kufanya UHAINI
Na mtoto wake John Mongela ambae ni mkuu wa wilaya ya Kasulu ni dhulumati kweli kweli. Hata simtaki kumsikia. Yule Mongela hamnakitu na alipewa ukku wa wilaya sababu ya ushikaji na Vasco Dagamamwizi wa samani za nyumba huko bunge la Africa...
Acha uongo mkuu, mimi siyo msemaji wa familia ya Mongella lakini ukweli na uadilifu ni kitu kizuri sana. John Mongella ni mkuu wa wilaya ya Kigoma na siyo Kasulu. Huyu Bwana ni muungwana sana japo anaweza kuwa na mapungufu ya kibinadamu lakini siyo mambo ya kufurahia katika matatizo yao ya kifamilia. Naomba tuwe waungwana kiasi:smile-big::doh:Na mtoto wake John Mongela ambae ni mkuu wa wilaya ya Kasulu ni dhulumati kweli kweli. Hata simtaki kumsikia. Yule Mongela hamnakitu na alipewa ukku wa wilaya sababu ya ushikaji na Vasco Dagama